WAZIRI MKUU AAGIZA KITUO CHA KIHINGA KITENGEWE BAJETI.

19 Desemba, 2020  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA KITUO CHA KIHINGA KITENGEWE BAJETI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ikiimarishe kituo cha utafiti wa zao la michikichi cha Kihinga kilichopo mkoani Kigoma kwa kukitengea bajeti kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya kudumu pamoja na baabara ili kuboresha shughuli za